Cantitate/Preț
Produs

Kisa Cha Sungura Kuoa Binti Mfalme


Paperback
Wakati wa kuolewa umerejea wa binti mfalme aliye mzuri kuwapita mabinti wote barani Afrika. Mfalme katayarisha zoezi kubwa kwa vijana wote wa karibu na wa mbali wanao taka kumuoa binti mfalme. Vijana hawa wanahitajika kuonyesha uwezo wao na nguvu kumstahili binti mfalme. Je Sungura na ujanja wake atawezaje kushinda ili amuoe binti mfalme? Fungua ukurasa uone... Ni hadithi nzuri na ya kuvutia. Mwishoni wa hadithi kuna maswali.
Citește tot Restrânge

Preț: 7797 lei

Nou

Puncte Express: 117

Preț estimativ în valută:
1492 1548$ 1247£

Tipărit la comandă

Livrare economică 11-17 martie

Preluare comenzi: 021 569.72.76

Specificații

ISBN-13: 9780991639953
ISBN-10: 0991639952
Pagini: 22
Dimensiuni: 152 x 229 x 2 mm
Greutate: 0.05 kg
Editura: Maisha Publishing