Cantitate/Preț
Produs

Safari YA Juma

Autor Edwin W. Scroggins Traducere de Ysuph R. Emmanuel
Paperback
UNAWEZA KUTEMBEA UMBALI KIASI GANI UKIWA PEKU? Mwandishi wa "Safari ya Juma" anakualika uifuatilie simulizi ya kijana Juma aliyetembea peku umbali wa kilomita 1529 kutoka Mbeya iliyopo kusini hadi Arusha iliyopo kaskazini mwa Tanzania. Masaa kadhaa kabla ya kufariki, Juma alimwahidi mamake kuwa angemtafuta mzungu mmishenari aliyeko Mbeya ili amweleze habari za Yesu. Juma agundua kua yule mzungu ameishaondoka Mbeya kuelekea Arusha na hivyo hana budi kumfuata huko ili kuitunza ahadi aliyomwahidi mama yake ambaye sasa ni marehemu. Katika safari hii hatari, Juma akumbana na vipingamizi vingi vya kimwili na kiroho pia. Utamhurumia anapokumbana na chui na kulengwa na majangili, anapotekwa na kutumikishwa kiutumwa. Je atasalimika kutoka katika mikono ya mbwa-mwitu wakali wanaomwinda msituni? Akiwa amepoteza fahamu na ni mgonjwa amelala kando ya barabara, Je kuna matumaini yeyote ya kuokolewa? Je, atafika Arusha? Soma kitabu hiki ili kupata majibu
Citește tot Restrânge

Preț: 6471 lei

Nou

Puncte Express: 97

Preț estimativ în valută:
1239 1274$ 1028£

Carte disponibilă

Livrare economică 25 ianuarie-08 februarie

Preluare comenzi: 021 569.72.76

Specificații

ISBN-13: 9781499359862
ISBN-10: 1499359861
Pagini: 134
Dimensiuni: 133 x 203 x 7 mm
Greutate: 0.15 kg
Editura: CreateSpace Independent Publishing Platform