Cantitate/Preț
Produs

Wavuvi

Autor Samuel Mwenda
Paperback – 5 oct 2014

Despite encountering many problems in life, Fadhila accepted the calling to be a fisher of men. On the other hand, Inspector Macho realized that it was a daunting task to catch big fish. Can he bring to book thugs who chopped and traded with people's private parts? Tamara was at pains to know that her actions were followed by regrets. Will she benefit from the reckless lifestyle or would she be brought down by what life has to offer? When fishermen meet at Mwambani (rocky place), their conflicts and interactions bring a lot of excitement.

Here is what others say

"If fishermen never got discouraged after undergoing many challenges how about us...this is a novel written with a lot of expertise." " - Stephen Kaimenyi Kirera, Kiswahili Teacher "

"This is a captivating, intense narrative An accurate portrayal of the state of our society presently, in a most amazing manner " " - Beatrice Nyanyuki, Publishing Layout Designer "

"A thrilling story, narrated in a unique way A brain-teaser " " - Dr Matunda Nyanchama, Book Publisher "

..........................................................

Licha ya Pasta Fadhila kukumbana na madhila mengi anaitikia mwito wa kuwa mvuvi. Inspekta Macho naye anagundua kuwa si rahisi kuvua samaki wakubwa. Atawavua wakora wanaovua sehemu nyeti za binadamu? Tamara ang'amua kuwa majuto ni mjukuu. Atafaidi maisha ya mapuuza au atavuliwa na wavu wa malimwengu? Wavuvi wanapokutana Mwambani kuparurana na kutagusana kwao kunazua msisimko mkubwa.

Maoni ya Waliosoma Riwaya Hii

"Wavuvi hawakufa moyo baada ya kupitia masaibu katika uvuvi wao sembuse sisi... Hii ni riwaya iliyosukwa kwa umbuji wa hali ya juu." " - Stephen Kaimenyi Kirera - Mwalimu wa Kiswahili "

"Hii ni hadithi motomoto, inapendeza Ni taswira sahihi ya hali ya jamii yetu kwa njia inayostaajabisha mno " " - Beatrice Nyanyuki - Mbunifu wa Vitabu "

"Hadithi ya kusisimua iliyosimuliwa kwa njia ya kipekee Kichemsha bongo " " - Dr. Matunda Nyanchama - Mchapishaji wa Vitabu "

Citește tot Restrânge

Preț: 23483 lei

Nou

Puncte Express: 352

Preț estimativ în valută:
4499 4737$ 3714£

Carte tipărită la comandă

Livrare economică 23 ianuarie-06 februarie 25

Preluare comenzi: 021 569.72.76

Specificații

ISBN-13: 9781926906409
ISBN-10: 1926906403
Pagini: 336
Dimensiuni: 127 x 203 x 19 mm
Greutate: 0.36 kg
Ediția:
Editura: Nsemia Inc.