Cantitate/Preț
Produs

Matumizi YA Mifumo YA Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition

Autor Paul Truong, Tran Tan Van, Elise Pinners
Paperback – 31 oct 2008
Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo. Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http: // www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali, wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho "kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne hii ya ishirini na moja.
Citește tot Restrânge

Preț: 12587 lei

Nou

Puncte Express: 189

Preț estimativ în valută:
2409 2529$ 1990£

Carte disponibilă

Livrare economică 09-23 ianuarie 25

Preluare comenzi: 021 569.72.76

Specificații

ISBN-13: 9781440459979
ISBN-10: 1440459975
Pagini: 102
Dimensiuni: 203 x 254 x 7 mm
Greutate: 0.22 kg
Editura: CreateSpace Independent Publishing Platform
Locul publicării:North Charleston SC, United States

Descriere

Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo. Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http: // www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali, wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho "kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne hii ya ishirini na moja.

Notă biografică

Dkt. Paul Truong: Mkurugenzi wa Matandao wa Vetiver International, anasimamia Asia na eneo la Pasifiki vile vile ni mkurugenzi wa Veticon Consulting. Katika miaka kumi na nane iliyopita ameongoza utafiti na kukuza sana matumizi ya mfumo wa Vetiver kwa madhumuni ya kuyalinda mazingira.Uanzilishi wake wa uchunguzi wa nyasi Vetiver na vile mmea huu unavyostahimili hali mbovu za mazingira, uchafuzi wa madini mazito na udhibiti wowote kwa ujumla, umeweka alama teule ya VS (Mfumo wa Vetiver) katika matumizi ya kuondoa taka sumu, kurekebisha migodi na kusafisha majitaka, kwa ajili hiyo ametambuliwa na kutuzwa mara kadhaa na Banki ya Dunia na pia mfalme wa nchi ya Thailand.